Jumatatu 14 Aprili 2025 - 20:37
Je! Ninaweza kula samaki katika mgahawa usio wa muislamu?

Kuna masharti kadhaa ili ule samaki katika mgahawa usio milikiwa na muislamu, masharti ambayo Ayatullah Sistani ameyabainisha.

Shirika la Habari la Hawza - Je! Ninaweza kula samaki katika mgahawa usio wa muislamu

Jawabu: Ni lazima uwe uhakikishe kuwa ni samaki mwenye magamba, hata kama magamba hayo yameanguka kwa sababu ya jambo fulani, na pia mtu awe na yakini kwamba samaki huyo alikamatwa akiwa hai majini, au alikufa akiwa ndani ya nyavu za uvuvi akiwa majini, jambo ambalo hutokea mara nyingi, la sivyo hairuhusiwi kumla samaki huyo.

sistani.org

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha